(Msikilize Injinia kwa kubofya play)
Mradi mpaka kukamilika utagharimu kiasi cha shilingi milioni 501,182,580 ikiwa ni fedha zilizokabidhiwa kutoka mfuko wa barabara.
![]() |
| Mafundi wakiendelea na kazi. |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM Abdalahman Kinana akisaini kitabu cha kuweka kumbukumbu wakati alipofanya ziara eneo hilo, pembeni (kushoto) ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Mhe. Titus Kamani. |
![]() |
| Nyenzo za ujenzi. |
![]() |
| Kuelekea kule upande wa pili ni kijiji Mwabulutago na huku ni Mwasengela hadi Ngaka katika barabara yenye urefu wa Kilomita 13 kutoka vijiji na kata hizo. |
![]() |
| Katapila likiendelea na kazi ujenzi wa daraja la Mongobakima. |
Tupe maoni yako








0 comments:
Post a Comment